Nawakumbusha tu kuwa CDF Mstaafu Gen. Mabeyo ni Kiongpzi wa Jumuiya zote za Kikatoliki Tanzania

Nawakumbusha tu kuwa CDF Mstaafu Gen. Mabeyo ni Kiongpzi wa Jumuiya zote za Kikatoliki Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel.

Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
 
Kuna watu wehu sana sasa kama ni mabeyo ndio nchi isifanye mambo yake ya maendeleo acha hizo, au hujui kwamba campaign manager wa lowasa alivyokuwa chadema alikuwa apson lakini hakuambulia kitu kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom