GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 19, 2023 #1 Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel. Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel. Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Aug 19, 2023 #2 Kwahiyo tuogope kana kwamba wao ndo wanatupa pumzi...? Vihoja vyengine ni viloja tu
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Aug 19, 2023 #3 The world has mqny things lets wait and see
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Aug 19, 2023 #4 Moderator futeni huu Uzi please
I incharge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 5,017 Reaction score 8,442 Aug 19, 2023 #5 Kuna watu wehu sana sasa kama ni mabeyo ndio nchi isifanye mambo yake ya maendeleo acha hizo, au hujui kwamba campaign manager wa lowasa alivyokuwa chadema alikuwa apson lakini hakuambulia kitu kwenye uchaguzi
Kuna watu wehu sana sasa kama ni mabeyo ndio nchi isifanye mambo yake ya maendeleo acha hizo, au hujui kwamba campaign manager wa lowasa alivyokuwa chadema alikuwa apson lakini hakuambulia kitu kwenye uchaguzi