Nawakumbusha tu............!

Valentin(o)?! Usanii, mkumbo, maigizo, ze comedy! Sawa na kununuliwa nguo kwa ajili ya mwaka mpya!! Kila la heri wakuu.
 
Asante mkuu kwa kunikumbusha,ngoja nianze kujifua kwaajili ya gemu siku hiyo .......
 
Hata sijui,nimewaza tu kisweat,hakuna cha posa wala nini!

hahah mi nikadhani labda mambo yamewiva tujiandae na mnuso yakhee! Lol......poa bana ngoja nami niwakumbushe hawa waliokaribu yangu!!
 
Orait orait! Who wants to be my valentine? Volunteers plz, terms and conditions to apply ! (PAW akiona hii post napigwa ban ya 'fingerprints')
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…