Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kumfunga Simba sio habari, Habar ni pale ikitokea simba kamfunga Yanga mbumbu huwa wanachanganyikiwa. Historia inaonyesha Simba kaburuzwa vyakutosha mbaka sasa. Changamoto aliyonayo Yanga si kupata matokeo kwa simba ila kwasasa kupata uongozi utakao irudisha yanga ya kimataifa.Muda si mrefu Kagame Cup itaanza makundi yalishapangwa ,Yanga yupo kundi moja na Simba ..Simba hii ambayo imeifunga Vita, Nkana,Al Ahly, Soura wajiandae kabisa
Unaizungumzia Simba SC quarter finalist CAF Champ's? Au Mkude Simba?Yanga kumfunga Simba sio habari, Habar ni pale ikitokea simba kamfunga Yanga mbumbu huwa wanachanganyikiwa. Historia inaonyesha Simba kaburuzwa vyakutosha mbaka sasa. Changamoto aliyonayo Yanga si kupata matokeo kwa simba ila kwasasa kupata uongozi utakao irudisha yanga ya kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh Yanga ganiYanga kumfunga Simba sio habari, Habar ni pale ikitokea simba kamfunga Yanga mbumbu huwa wanachanganyikiwa. Historia inaonyesha Simba kaburuzwa vyakutosha mbaka sasa. Changamoto aliyonayo Yanga si kupata matokeo kwa simba ila kwasasa kupata uongozi utakao irudisha yanga ya kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio iliyofungwa na Mbao ya Mwanza na Mashujaa ya Kigoma au sio Simba?Unaizungumzia Simba SC quarter finalist CAF Champ's? Au Mkude Simba?
Kupata uongozi kwa sasa ni ngumu. Kuna hujuma nyingi sana . Mpira wa kimashindano ni ela. Bila uongozi mzuri ela haipatikani.Ela inafanya upate wachezaji wazuri ,Kocha mzuri na huduma nzuri kwa wachezaji . Kwa Yanga sasahivi ni kinyume kabisa nilishangaa ilivyoongoza ligi raundi ya kwanza. Tff imechangia huu mgogoro wa Yanga kwa kuingilia mambo ya Yanga plus ratiba mbovu.Yanga kumfunga Simba sio habari, Habar ni pale ikitokea simba kamfunga Yanga mbumbu huwa wanachanganyikiwa. Historia inaonyesha Simba kaburuzwa vyakutosha mbaka sasa. Changamoto aliyonayo Yanga si kupata matokeo kwa simba ila kwasasa kupata uongozi utakao irudisha yanga ya kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app