Nawakumbusha yanga wakumbuke wapo kundi moja na simba kagame cup

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Muda si mrefu Kagame Cup itaanza makundi yalishapangwa ,Yanga yupo kundi moja na Simba ..Simba hii ambayo imeifunga Vita, Nkana,Al Ahly, Soura wajiandae kabisa
 
Muda si mrefu Kagame Cup itaanza makundi yalishapangwa ,Yanga yupo kundi moja na Simba ..Simba hii ambayo imeifunga Vita, Nkana,Al Ahly, Soura wajiandae kabisa
Yanga kumfunga Simba sio habari, Habar ni pale ikitokea simba kamfunga Yanga mbumbu huwa wanachanganyikiwa. Historia inaonyesha Simba kaburuzwa vyakutosha mbaka sasa. Changamoto aliyonayo Yanga si kupata matokeo kwa simba ila kwasasa kupata uongozi utakao irudisha yanga ya kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaizungumzia Simba SC quarter finalist CAF Champ's? Au Mkude Simba?
 
Duuh Yanga gani
 
Kupata uongozi kwa sasa ni ngumu. Kuna hujuma nyingi sana . Mpira wa kimashindano ni ela. Bila uongozi mzuri ela haipatikani.Ela inafanya upate wachezaji wazuri ,Kocha mzuri na huduma nzuri kwa wachezaji . Kwa Yanga sasahivi ni kinyume kabisa nilishangaa ilivyoongoza ligi raundi ya kwanza. Tff imechangia huu mgogoro wa Yanga kwa kuingilia mambo ya Yanga plus ratiba mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…