Nawaletea kipindi kipya " jamvini na DJ sepetu "

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Baada ya kuwa na msimu mzuri wa interviews,napenda kuwajulisha kuanzia hivi punde nitakuwa na host members wawili au zaidi tukizungumzia historia zao na kumbukumbu za kusisimua kuhusu maisha kwa ujumla.mtazamo wao kuhusu kazi biashara urembo muziki siasa na mapenzi hapa hapa jukwaani kwetu pendwa.

Pindi jamvini ikiwa hewani mubashara members mtaruhusiwa kutoa uzoefu wenu ktk vipengele oanishwa hapo juu.

Host ni DJ sepetu(muosha rungu)
 
Tutakapo anza mjadala tutawaarifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…