Nawamiss sana

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
319
Jamani nawamiss na kuwapenda sana,sitaki kuwapoteza marafiki zangu wa ukweli,for those who wanna get in touch with me just ni inbox will give u may personal details,Thanks JF for the changes binafsi nimezipenda sana,love you all pamoja for life but not till death to us part,but till death do u part.
Pearl
 
Umetutenga sana wangu,
kwa mara ya mwisho kuonana ni pale tulipokuwa tunahamasisha kuwachangia wahanga wa mafuriko KILOSA
 
aah!
mwenyeweeee huyoooooooooooooooooo
aah:becky::becky::becky:
 
jamani pearl kwanini unapotea sana! tunakumiss sana pia.hope u r fine my sissy.

:welcome:
 
Umepotelea wapi? Twambie walau kidogo kwani hicho kimywa mshindo wake utakuwa hatari.

We really missed you so much. Usisahau tuletea zawadi eeeehhh:eyeroll2:
 
Jamani kuhusu kuchangia wahanga mbn nilihamasisha na pesa ikapatikana nikakabidhi?sijakutenga bana miss u sana
 
Mtoto mzuri wewe unatokea wakati wa mfungo wa Ramadhan..le me .....:A S 100:
micng u so much Pearl
 
jamani cheusi mangala wangu waoooooooooooooooooooooooo,am real gud swty vp ww lkn?
 
Jamni my love 1st lady!nipo at least for u tunaongea most of the time,how are u doing lkn?sasa lini maana nasubiri masiku tu yanapita lol!miss u so much darling
 
yayayaaaaa!! wera weraaaaa!!!

wapi thelengeti thelengeti??!!!
 
jamani Teamor,I Love u!yap mie huyoooooooooooooooooooo
 
Jamni my love!nipo at least for u tunaongea most of the time,how are u doing lkn?sasa lini maana nasubiri masiku tu yanapita lol!miss u so much darling
takupigia bwana!huku facebook tutawasiliana vizur
 
Wapi counter muzee ya paya kwanza then utumbo choma!~!!
 
ah ah ah kisusio banda la kuku!
 
ah ah ah birigita husahau tu?ah ah ah sasa najipangusa raaaaaaaaaaaaaaa,raaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Women might be able to fake orgasms. But men can fake a whole relationship.!


hehehehehehe!
NOTED AGAIN AND AGAIN AND AGAIN!
thibitisha hapa:
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

Teamo (Today)​


 
ah ah ah birigita husahau tu?ah ah ah sasa najipangusa raaaaaaaaaaaaaaa,raaaaaaaaaaaaaaaaaaa
rrrrrrrrrhhhhhhhhhhhaaaah!
ACHACHACHACCHACHACHA
yaani ninavyokwambia hapa pearl yani dah!
AAAH FREEEEESHEEEEEYYYYY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…