No admission
JF-Expert Member
- Nov 26, 2011
- 215
- 68
mkeo anaitwa nani na yuko wapi sasa hivi?
YES YUPO JF NA ALISHAWAHI KUANZISHA UZI WENYE KICHWA CHA HABARI KM SIKOSEI NI"SIKUJUA KAMA KUNA SIKU NINGENYANYASWA HIVI" na alitumia id ya lonely heart
acha tu
Hapa sichangii maana...
ni mwana jf mwenzetu na moja kati ya 2 ya id zake ni "lonely heart"
asante sana kwa ushauri wako nitaufanyia kaziYaah hata kama unafanya mzaha ili utuchore hili ni jambo ambalo lipo ktk jamii zetu. Naomba kwa njia hii wanaumme wajifunze umuhimu kuwaheshimu wake wa ujana wao. Kwako wewe bwana Luimbo kwanza kapime VIRUSI kwani mkeo kwanza anaogopa KUFA kwani kwa story hii umejirusha na wanawake kibao? hakikisha majibu anayapata ya uhakika. Mbili Mrudie Muumba kila kitu kitakuwa Bomba