Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

kama kwa malinzi unajuta hv, je kwa lowaxa si ndo ungeungama hadi kwa padri?
 
Malinzi ikitokea umerudi ( japo ni ngumu sana ) , Mkumbuke Frank Wanjiru .
 
Malinzi ikitokea umerudi ( japo ni ngumu sana ) , Mkumbuke Frank Wanjiru .
Narudia kusema tena siku ya uchaguzi masaa mawili tuu baada ya kura kupigwa Malinzi tayari kashawapiga KO wapinzani wake maana Hugo Mayai namfananisha na wakina Hashimu Rungwe na Fahmu Dovutwa kwenye mbio za urais wa Tanzania.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mmejipanga kugawa rushwa ?
 
Asante na hongera kwa kutubu sasa hakikisha Ali mayayi anakua raisi nakuona una uzoefu wa kuwafanya wanakua marais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…