GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa UPUMBAVU niliouona nina uhakika Alama zangu zote 6 naziacha kwa Yanga SC ( nikimaanisha Nakandwa ndani nje ) na Alama zangu 4 ( nikimaanisha Azam watanifunga Mechi moja na nyingine nitajitutumua nao kwa Sare ) hivyo GENTAMYCINE niwaombe tu TFF wala wasichelewe kufanya hili kwani wenye Kuujua Mpira na Kuutabiri Kimaono tumeshaona hilo na wala tusipoteze muda Kulijadili hili.
Mwisho wa Ligi Kuu ya Msimu huu huu ndiyo Msimamo wangu ninaoutabiri....
Bingwa Yanga SC
Mshindi wa Pili Azam
Mshindi wa Tatu Simba SC tunaotoa sababu ya Kitoto kuwa Timu yetu bado INATENGENEZWA wakati ni MBOVU
Nikimaliza huu UZI wangu bila ya Kuwapongeza wana Yanga SC kwa Mafanikio yao ya Kutufunga Simba SC na jana Kuchukua Ubingwa wa Ngao ya Jamii si tu kwamba nitakuwa na ROHO MBAYA bali nadhani pia nitakuwa ni MCHAWI na MWENDAWAZIMU niliyetukuka.
Ukweli ni kwamba Yanga SC wametuzidi WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio Timu bado INATENGENEZWA kwa kila Idara kuanzia katika Uongozi wao, Mikakati yao ya ndani na nje ya Uwanja na kubwa zaidi upande wa Wachezaji. Yanga SC ina WACHEZAJI ila WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio Timu bado INATENGENEZWA ina TAKATAKA tupu.
Na nina Exclusives Kabambe na Kali Tatu hakuna Yoyote aliyezitoa, ila naziacha kwakuwa NIKIWAONYA mnanipuuza.
Imeisha hiyo......!!