Nawaomba wakaka mnipe siri ya kupenda "kutubambia" wadada kwenye mziki! Mnapata raha gani?

Mimi wananiuzigi kweli mpaka mudi ya kicheza uwaga inanitokaga awachaguagi hao ata flat skilini wanabambia tu!
 
Mods njoeni muunganishe uzi

Kaiba uzi wa bro HR 666


Sema ameedit mambo lakini concept ni ile ile

Napenda kushika shika makalio ya mademu na kubambiasijui kwa nini
 
kipindi nasoma a level tabora ndo ilikuaga assignment yangu kubambia wamama wa kinyamwezi..
nilikua nafanya hivo siku sina mzuka wa nyetroo
 
kipindi nasoma a level tabora ndo ilikuaga assignment yangu kubambia wamama wa kinyamwezi..
nilikua nafanya hivo siku sina mzuka wa nyetroo
We ulipita Milambo sio bure nimecheka sanaaaaaa disco vumbi
 
Kumbatio always linabakia kuwa ni comfort kwa mtu...
 
ha ha ha eti masponji
 
Mengine mtuachie ni siri za kiofisi jamani yaani wadada mnataka kila kitu chetu mkijue?
 
Nahisi wanakuwa wanatafuta wadada Wa kuondoka naona

Umenikumbusha nilivyokuwa chuo, tulienda mziki na rafiki yangu, tukajiagizia drinks zetu tunacheza mziki,Mara waitress akatuletea drinks zingine,tukamuuliza vipi zemetoka wapi, eti oohhh mmenunuliwa

Tukamaliza vyetu,tukaanza kunywa vya ofa,ile tumefika nusu chupa tu,MTU mbili hizi hapa,eti sisi ndio tuliowanunulia drinks,tukawaambia asante sana, tukaendelea kucheza mziki, Mara ghafla washasimama nyuma yetu,wanataka kutubambia,tukawatimua

Wasitunyang'anye drinks zao zilizokuwa zimebaki nusu, na mziki uliishia hapohapo tuliondoka fasta,ilikuwa kila tukikumbuka hilo tukio tunacheka sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanawake wenyewe wanapenda hiyo michezo...
 
Mimi wananiuzigi kweli mpaka mudi ya kicheza uwaga inanitokaga awachaguagi hao ata flat skilini wanabambia tu!
[emoji23] [emoji23] sio vizuri kuwabania waache wanajamii waburudike hii ni moja ya kazi yako kama shemale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…