Nawaomba wakaka mnipe siri ya kupenda "kutubambia" wadada kwenye mziki! Mnapata raha gani?

Na nyie mnaona raha gan kucheza huku unatingsha tukunyema..... nenda sehem za ibada uone kama utabambiwa.
 
Pamoto pale.. Nikiwa sekondari nilikua namaliza kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…