Nawaomba wenyekuzielewa sheria za Tanzania

Nawaomba wenyekuzielewa sheria za Tanzania

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
83
Katika nchi za Ulimwengu wa kwanza ukimuingilia mwanamke (force yourself into her) bila idhini yake kwa mfano akiwa kalala , kalewa inahesabika ni Raping (umembaka)swali linakuja hapa katika sheria za Tanzania Zinaelezea nini?
 
Back
Top Bottom