Nawaomben Mnijuze

Ndg Wana Jf Naomben Kujua Muda Wa Mwisho Wa Kwenda Vyuo Vya Vya Ualimu Ni Lini Na Kwa Utaratibu Up?



Hukusoma tangazo la wizara ya elimu kwenye web yao?? majibu mengine unaweza kujisomea mwenyewe tu kwenye web ya wizara ya elim badala ya kuja humu!! ok mwisho wa maombi ulikua ni may 30!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…