nawaonea huruma waaislam!

Mwl Ngasa

Member
Joined
Aug 9, 2012
Posts
32
Reaction score
7
Siku zote nimekua nikisikia kuwa waislam wanaonewa,wanahujumiwa, wananyimwa haki zao, wanadhulumiwa sasa kwa hapa tz sijui hata nijieleze vipi kwani mfumo wa maisha na imani zao ndo unaowapeleka huko wanapotaka kuwa. Mimi nina ndugu zangu kwenye familia ni waislam na sisi ni wakristo sasa lipokuja swala la Elimu hususani Elimu ya sekondari naona wenzetu wanashule duni sana tena nidham za shule zao ni mbaya hata kufikia wanafunzi kuishi maisha duni kielimu haf bado wanapeleka watoto wao huko, wanapofeli yani hata hawashtuki wanasema wanaonewa na NECTA! Hiyo necta ndo inasimamia nidhamu mashuleni? Hapa tz shule nzuri zote ukifanya tathmin uzuri wwte ule uwe wa majengo, walimu, kufaulisha au vifaa vya kufundishia lazma uambatane na NIDHAM ya wanafunzi ndo inayo vuta usikivu! Jamani inawezekana kweli huko mlikotoka mlikuwa mnaonewa lakini kwa hapa mlipo eneo la Elimu mnalifanyia nini? Chuo kikuu chenu kimoja wenzenu wanavyo takribani kumi na saba, Je mko serious kweli! Baada ya miaka ishirini mbele ajira itakuwaje kama taaluma ya vyuo ikifuatwa? Kwasasa kiukweli bila kuliangalia kwa namna ya pekee swala la Elimu ndugu zangu hali ya ajira kwa siku za usoni italeta shida! Sijui kama hapa kwenye eneo la Elimu kunahujuma wala sijawahi kuona, ninazaidi ya miaka kumi kazini kama mwalimu nikifundisha wanafunzi wote waislam na wakristo sijawahi kupoteza mwanafunzi eti kafeli kwa dini yake hilo hakuna kabisa!
 
Subiri wanakuja wenyewe! Pia thread nzima itajaa Udini.
 
Huyu naye katokea wapi na mambo ya udini tena..................!
Kuna Muislam aliyekatazwa kusoma shule za wakristo au vyuo vinavyomilikiwa na wakristo....????
Au kuna mkristo aliyekatazwa kusoma shule au vyuo vinavyomilikiwa na waislam....???
Mtoa MADA NDIYO NYIE MNAOSAMBAZA SMS ZA UDINI KWENYE MITANDAO YA SIMU NA OLE WENU MMEANZA KUFANYIWA KAZI, CHUKI ZA KIDINI HAZIKUBALIKI KAMWE.......!
 
Tatizo unaonekana kuwa na low seif esteem, hiyo unakuja na thread zenye kuvuta attention, kwakuwa siokweli kuwa wanachagua sema kuna tabaka ambalo lilishajengwa kwa bahati mbaya wengi wao walikuwa ni wenye dini ya kiislam, na labda nikurekebishe ukisema waislam maana yake ni wate wenye mrengo huo, ulitakiwa kusema baadhi yao ktk jamii. sio kweli mtu kuwa amesoma ni kiwango gani ambacho unadhani ndio elim iliotukuka? jifunze jinsi yakuja na thead ok, tumenza kuja sasa
 
jaman hizo mada zingine ni kuwakwaza watu. mbona tanzania bila udin iliwezeka achen wapendwa tuendelee kumlilia mungu juu ya yote mabaya yanayotokea.



mungu anasema dhambi zote ni za kurithi
tutubu kwa ajili hiyo.



amen
 
Mimi nakuonea huruma wewe...kwa kuturudisha nyuma kimawazo.
 
Hebu someni mumuelewe mwl ngasa amesema hivi "ninazaidi ya miaka kumi kazini kama mwalimu nikifundisha wanafunzi wote waislam na wakristo sijawahi kupoteza mwanafunzi eti kafeli kwa dini yake hilo hakuna kabisa!" Nimeipenda hii!
 
Hebu someni mumuelewe mwl ngasa amesema hivi "ninazaidi ya miaka kumi kazini kama mwalimu nikifundisha wanafunzi wote waislam na wakristo sijawahi kupoteza mwanafunzi eti kafeli kwa dini yake hilo hakuna kabisa!" Nimeipenda hii!

Yes,watu wanakurupuka!mueleweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…