Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Na ww unawaamini wachambuzi wa mambo ya kimaumbile [emoji1787][emoji1787] China kunanihusu aisee nikajiwekee chura wangu wa kichina nihangaike na jiji
hahaha insta babe inaonekana haujitakii mema yani chura yote hyo na bado ukaongeze ya kichina si utashindwa kutembea [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha kweli nimeamini akutukanaye hakuchagulii tusi
wataalamu wa mambo wanasema ...mabinti flat screen huu uzi wameupitia mbali kama hawajauona

yani ukiona binti kapata ujasiri wa kuchangia huu uzi ujue huyo ana woo woo woo na sio makalio

maana makalio kila mtu anayo lakini woo woo woo lipo kwa wachache na wachache wenyewe ndio kina insta babe [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, asee kweli wataalam mpo Hahahaha
Hahahaha kweli nimeamini akutukanaye hakuchagulii tusi

MTC | 101| [emoji769]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binti flat screen mie najiamini na kujikubali nilivyo chura wangu ananitosha na mwili wangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binti flat screen mie najiamini na kujikubali nilivyo chura wangu ananitosha na mwili wangu
huyo chura anayekutosha kwa mwili wako siyo wa kawaida insta babe.....

au hadi nitume hapa ile picha uliyopost insta unapanda ngazi za dreamliner woo woo woo linaoneka ili na wadau wajionee uumbuji wa sir god

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, usiyadharau maneno yao ,na inawezekana ni kweli wanaochangia Uzi huu wana ,WO WO WO

MTC | 101| [emoji769]
mabinti wanaochangia humu 75% wanalo woo woo woo

25% iliyobaki hao hawana woo woo woo hata ujasiri wa kuchangia hawana kazi yao wanalike tu coment zinazosifia vimbau mbau [emoji23][emoji23]

maneno ya wataalamu hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunaocomment ni flat screen tunaojikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…