Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Kheeeee [emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134] na ukaamini kabisa ni mm ulivyoonyeshwa picha
Atanidanganya nani wakati nakujua vizuri na picha ninayo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo aliyekudanganya kuhusu mm baba wa mtoto mzuri mwambie namsalimia mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni wewe alafu hata unavyotembea tu unaonekana mtamu balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutembea tena kwahiyo ushawahi niona woiiii nacheka mm
[emoji23][emoji23]Eeeh nakujua mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshipa wewe upoje lakini unanijuaje sasa
Haya kama huamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha usije utanitia majaribuni na ulivyo mrembo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuu ebu uko na urembo wako nipm basi au ulifutaga ile chat
Hahaha chati ipi hyo? Wewe pm yako si unafungaga throughout the year

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahah ile chat ya siku ile ukajaribu pm ilikuwa wazi au uliifuta nikuje mm
......

MTC | 101| [emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…