sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli.
Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja
Wito wangu kwa vijana wa kiislam,
1. Fanya ibada zako.
2. Tenda haki, usidhulumu wala kudhulumiwa
3. Jiimalishe kiuchumi
4. Endelea kujiendeleza kimaarifa ili uweze kuona mambo katika angle tofauti.
Wajanja wanatumia jazba la vijana wa dini kufikia malengo yao. Utauwawa uiachefamilia iteseke kisha waliokushawishi wanaka meza moja na uliodhani ni “makafiri” wakila mvinyo.
It is a scam everywhere, be wise.