GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndani ya Miezi miwili kwa Makusudi, kwa Jeuri na Dharau zake aliamua Kuwazimia Simu Viongozi wa Simba SC kila walipomtaka ili wazungumze Mkataba wake. Baada ya kuona Viongozi wa Simba SC nao kumuonyesha Ubaya Ubwela kwa Kutopokea Simu zake na kwa Umafia kumkatalia kwenda kwa Mkopo Azam FC ndiyo Kinafiki akaamua Kuufyata na kuamua Kurejea Kikosini huku akiomba Msamaha kupitia Kiongozi mkubwa wa Kiserikali nchini mwenye Ushawishi mkubwa ndani ya Klabu ya Simba.
Hivyo GENTAMYCINE nimeona niwaonye mapema sana Uongozi wa Simba SC juu ya huku Kurejea Kwake Kipa Aishi Manula rasmi katika Kikosi leo. Aishi Manula amrejea Simba SC Kinafiki na kwa Shingo Upande ila hana tena Upendo na Furaha na Simba SC hivyo naomba sana kamwe asiaminiwe kwa Kupangwa kwani najua atakachokifanya sasa ni kwa Makusudi kuamua Kutuumiza kwa Kuachia Magoli pale akipangwa hivyo naomba hii Kauli Mbiu yetu ya Ubaya Ubwela ( Umafia Umafia ) uendelee dhidi yake na aozee kabisa Benchini.
Soma Pia: Uwepo wa Manula Simba sc inatengeneza mazingira magumu ya ufanyaji kazi kwa Camara