Anayejituma ni Kibu D tu ndio maana game na Yanga alipotoka tu Yanga wakawa wanateleza tu hatimaye wakapata magoli manne zaidi. So Kujituma kunakozungumziwa ni kile anachokifanya Kibu D yaani Maximum delivery akiwa uwanjani [emoji3]
Energy yake hakuna aliyo nayo Simba pale. Kupanda yumo,kushuka yumo. Ni mtu hatari Sana asiyevuma. Waydad Wangekuwa hawamkwatui Simba ingetinga nusu fainali jomba. Ilikuwa ni mwiko kumruhusu akokote mpira kwa vyovyote vile,akitaka kukokota tu wanamkwatua!. Ndio pona yao ndio sababu Simba kuwa Mwakarobo FC tena last season[emoji3]