Nawapa hi: Junius

Nawapa hi: Junius

Junius

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
3,181
Reaction score
144
Hi every body,

mm junius nawasalimu great thinkers na wana jamii forum wote popote walipo,
natokea zenj,hivi sasa nipo kaskazini ya afrika kwa kwa kitabu,
Nawapa hi na tutakuwa pamoja katika jamii forum
t hanks
 
kARIBU jamvini utupe za hao waarabu wa huko kask.
 
Kijana Junius,

Tuletee kwa karibu issues za huko North Africa sijui utakuwa kwa mafarao au wapi vile...bt tutafurahi kupata maissues from that side!
 
duh! toka 2009! nipo la 7! shikamoo
 
Back
Top Bottom