Bomba La Mvua
Member
- Feb 27, 2015
- 95
- 44
Mimi ni shabiki wa Man united 🙂
Sitaki liverpool wachukue kombe la premier league wasije wakafikia record yetu ya kuwa na premier league titles nyingi, na imebaki mechi moja tu sioni kama wanaweza kuchukua,
lakini kwa walichokifanya jana kuitoa Barcelona kwenye champions League naamini wanastahili kuchukua hilo kombe.
kongole kwao wameiwakilisha ligi vizuri ligi yetu pendwa ya EPL,,,,,ingekua aibu kwa epl kuingiza timu nne robo fainali halafu wakose hata timu ya kuingia fainali,
Nawasilisha