Nawapa kongole Liverpool

Bomba La Mvua

Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
95
Reaction score
44
Mimi ni shabiki wa Man united 🙂

Sitaki liverpool wachukue kombe la premier league wasije wakafikia record yetu ya kuwa na premier league titles nyingi, na imebaki mechi moja tu sioni kama wanaweza kuchukua,
lakini kwa walichokifanya jana kuitoa Barcelona kwenye champions League naamini wanastahili kuchukua hilo kombe.
kongole kwao wameiwakilisha ligi vizuri ligi yetu pendwa ya EPL,,,,,ingekua aibu kwa epl kuingiza timu nne robo fainali halafu wakose hata timu ya kuingia fainali,

Nawasilisha
 
Liverpool wamefika tu final,

Kwan hamkumbuki ya madrid,

Liverpoool hawana bahati final, toka klop yupo dortmund kapoteza final kama nne mfululizo kule, zote anapigwa tuu
 
Liverpool wamefika tu final,

Kwan hamkumbuki ya madrid,

Liverpoool hawana bahati final, toka klop yupo dortmund kapoteza final kama nne mfululizo kule, zote anapigwa tuu
Kwani imechukua mara ngapi kombe la uefa?
Siyo lazima timu ikifka fainali lazima ichukue, japo wakati mwingne huchukua, kuna miaka Liverpool alingia finali mara mbili mfululizo na AC Milan 2006 na 2007 , akapoteza final moja na akashinda moja.

You will never Walk alone
 
Wenzako wametoa kundule kwa Liverpool kutokana na mchezo wao heavy na maridadi mbele ya wababe Barcelona.

"It could be a match of the year"

Tusipotoshane, Liverpool wapewe kundule(sio kongole)kuwatoa vidume wa mpira duniani.Hahahahaha!!!
 
Halafu nyie liverkuku mkisifiwa kidogo mnaanza jeuri eeeh ndo mana huku epl tumewaundia kamati ya Roho mbaya mwaka wa 30 huu no epl
 
Liverpool wamefika tu final,

Kwan hamkumbuki ya madrid,

Liverpoool hawana bahati final, toka klop yupo dortmund kapoteza final kama nne mfululizo kule, zote anapigwa tuu
Safari hii Klopp atafuta huo mkosi wa kupoteza Mara kwa Mara Final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…