Nawapa sababu nyingine ya kumpenda Diamond

Hi, Mimi ni shabiki mkubwa wa Diamond. Ila jifunze uandishi wa kuvutia, Mfano, Diamond Aselebuka na watoto, Au Diamond atoa msaada wa masomo , kupenda au kutopenda waachie wasomaji, ni ushauri tu!

Ahsante nitafanya hivyo..sema tu hufahamu wananchi wa humu wanavyokera so inabidi kwenda nao hivyo hivyo
 
Ushauri wa busara kama huu..naufanyia kazi..thank u
 
Naona unajipigia chapuo....sijali atakutongoza tu

Coments za watu wanaojitoa ufaham kama hawa inaqnibidi tu nizjibu..
ok ni boss wangu afu me ni me..so we ulitaka niache
kumtangaza anayenilipa mshahara ..nitangaze wasanii wengine ama wamanisha nini???watu bana
 
we inaelekea diamond akikuomba mku#! ndu utampa.
 
Can you please find some other way of conducting your PR activities on him?
I mean any other descent way,please!
You are more of attacking an unknown group of people!
IMHO you sound that way!
 
Coments za watu wanaojitoa ufaham kama hawa inaqnibidi tu nizjibu..
ok ni boss wangu afu me ni me..so we ulitaka niache
kumtangaza anayenilipa mshahara ..nitangaze wasanii wengine ama wamanisha nini???watu bana

Unaona mdogo wangu!! Umetoka kuelekezwa unarudia yaleyale... We fanya kazi yako haters achana nao mfano Huyo uliemjibu alikuwa anamrefer Heaven on Earth aliesema anampenda Diamond.. Ukiangahangaika na watu utapata pressure wengine tushadata kitambo.
Ushauri saa nyingine we usibonge sana tendea haki kazi yako tuwekee mapicha tuone sio mboyoyo mingi we uwe unaweka picha tuone haters wataponda nini? Wakati kila kitu kitakuwa wazi
 
Kubali kukosolewa mkuu

Then weka uthibitisho uliowazi kua Diamond atawasomesha hao watoto

Pia uwe unaeka picha

Kila la kheeri
 
Duh m big fan wa Diamond hasa muziki wake n' the way anajituma kupiga hatua ila trust me wasanii wengi wanaangushwa na team zao,having a guy lk this one on board ni shidaaa cuz naamini umu ndani anafanya watu wawe na negativity kwa Diamond ndo tatizo la kuingilia proffesional za watu ivi jamaa pale WCB jukumu lako ni lipi nahisi tatizo lako linaanzia hapa cant imagine ungekua nafasi ya Rommy haaahahaa..jifunze kua kwny timu kubwa cuz daily unatoa boko.
 
Ndege ya watu sita nayo utasema ni private jet? Kinapiga kelele kama mtu yupo mashineni? Show yenyewe juzi hajapata hata milioni 12 bahati yake wadhamini cocacola wamembeba baadhi ya gharama by daway uwezo wa diamond umefikia mwisho si muda atakuwa kama mr nice
 
Freeperson,freemasons jiunge nae si unataka pesa? Kusifia huku kuna kinachoendelea
 
mmmmmh! Wabongo bana cjui kwnn ha2thamin vya kwe2
 
Mleta mada yupo kishoga shoga hivi!
Andika kitu chenye mashiko, sio unaandika kama unacharaza mistari ya taarabu hapa!
Eti alipanda private jet aliyoikodi mwenyewe.....Hilo linawezekana kwa Diamond, si jambo la kushangaa.
Unatakiwa uandike kama mtu mwenye fikra zenye kushiba, sio unaandika kama kuna mtu amekubishia humu.
 
Huyu kijana anamatatizo makubwa sana,wale wataalam wa saikolojia mumsaidie huyu.hajitambui kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…