Nawapa salamu tu!

savannahgal

Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
6
Reaction score
7
Hamjambo,

Mie mgeni kwa hili Jukwaa lenu JF.
Nilifurahia your stay upande wetu wa KT na vile nimepata habari kwamba JF imerejea nikaamua kujiunga nanyi kwa muda ili nipate kujua mengi kuhusu nchi jirani.
Basi naomba msinifurushe mbio.
 
Karibu bibiye,
 
Karibu mkuu kunguru ya kenyatta ila huku waweza tumia app....
 
Hahahahah....yaaani,kila mahali nitalipata hili jina Kunguru?
Thanks for the info. I will download the app.
hahaha...huku hakuna jina la kunguru...mie nimelitoa KT...Anyway u are warmly welcome...
 
karibu jirani kumbuka huku hatutaki matusi kama KT mnatukanana meffi huku kwetu heshima ni jambo muhim
 
karibu jirani kumbuka huku hatutaki matusi kama KT mnatukanana meffi huku kwetu heshima ni jambo muhim
Jione! Kinywanyuku wewe! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Karibu sana mkenya mwenzangu savannahgal. Baadaye uje PM ntakupa mafunzo ya ziada, ya bure, kuhusu jinsi ya kusurvive huku Jf.
 
karibu mkuu, umeff ndo usilete tu huku morio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…