Nawapa za ndaaaani kuhusu bifu la Wazee wa Yanga na Injinia Hersi hadi jana kufungwa na Azam

 
Na ww unapoteza credibility...Yanga isifungwe yenyewe ni nani?? Hebu tutolee pumba zako muda mwingine..yani kuna timu duniani isiyofungwa?? Kila siku kutafuta sababu...
Hakuna mtu aliewafanyia lolote kina Mukwala sijui Ateba au Ahoua..unataka kila siku wafunge?? Wote uliowataja mpk sasa wana magoli 2 kila mmoja na assist ahoua sijui 4...wamehusika kwny magoli 6 ya simba...muda mwingine mnaongea vitu mpk aibu...
 
Yaan uzi wote huu nilidhani utakuja na tactical analysis kwanini team kama yanga imepotezq mchezo, unakuja na story za ushirikina?

Hivi ligi za barani ulaya wangekuwa na maeazo haya wangefika hapo walipo?

Get serious man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…