Nawapataje Vodacom Customer Care

Nawapataje Vodacom Customer Care

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Kama kichwa Cha habari ..... Kila nikipiga 100 wanaongea wao tu ..na nimetuma Hela home Kuna DHARURA Hela wamekata home haijafika. Napiga customer care wanaongea wao tu hakuna option ya kuongea na customer care. Anayejua namna ya kuwapata Msaada tafadhali.
 
1. Chat nao whatsapp
2. Chat nao kwa msg namba 100 ila uwe makini kufata maelekezo ili umpate customer care but itachukua muda. ukitumia english utahudumiwa haraka maana hakuna foleni.
3. Piga 100 hiyo hiyo chagua kipengele cha kama umeibiwa simu na unataka kuripoti hapo watapokea na ongea shida yako ya MPESA.
 
Hawa voda wanazingua

Cheza sana na hizo namba hawakuambii direct kama unaongea na Customer service ila kuna sehemu watakuunganisha.

ilishanikuta nikaenda mpka whatsapp, kule nako namueleza haelewi, kumbe ni ri robot lao sijui lilikua na njaa,
Naenda FB nako ni hivyo hivyo Mimi napoteza muda kumbe nachati na Lisukule.
 
Lijisukule lile liliniuzi,
Wajinga sana hawa..
 
Jaribu pia kuchati nao kwenye ukurasa wao wa Facebook wako active sana
 
1. Chat nao whatsapp
2. Chat nao kwa msg namba 100 ila uwe makini kufata maelekezo ili umpate customer care but itachukua muda. ukitumia english utahudumiwa haraka maana hakuna foleni.
3. Piga 100 hiyo hiyo chagua kipengele cha kama umeibiwa simu na unataka kuripoti hapo watapokea na ongea shida yako ya MPESA.
Kwa English..unaenda machaguo gani ...
 
Nimeibiwa simu..chap wakaniunga .... Wamerudisha muamala...mpaka naogopa kutuma tena... Na nipo visiwani.. nyumbani Kuna changamoto..dahh mitandao hii
 
Wasikikize na ufuate maelekezo vizuri ukitaka kuongea na mhudumu huwa wanakuungamisha
 
Kwa English..unaenda machaguo gani ...
Ukipiga 100 tu chagua english, then chagua if you want to report a stolen phone.
Kisha chagua you have all information about your phone including NIDA.
Fasta utaungwa na mhudumu utaongea naye.
 
Nimeibiwa simu..chap wakaniunga .... Wamerudisha muamala...mpaka naogopa kutuma tena... Na nipo visiwani.. nyumbani Kuna changamoto..dahh mitandao hii
Voda sijui wanachangamoto gani safari hii! Ijumaa nimetuma pesa kwenda benk haijafika mpaka leo eti wanashughulikia.
Jana nimetuma kwenda namba ya kampuni ndio imefika jioni hii.
 
1. Chat nao whatsapp
2. Chat nao kwa msg namba 100 ila uwe makini kufata maelekezo ili umpate customer care but itachukua muda. ukitumia english utahudumiwa haraka maana hakuna foleni.
3. Piga 100 hiyo hiyo chagua kipengele cha kama umeibiwa simu na unataka kuripoti hapo watapokea na ongea shida yako ya MPESA.
Nimependa hapo kwenye kuibiwa simu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wewe ukiwa na tatizo lolote lile chagua kipengele cha nimeibiwa simu hapo unawapata fasta unaongea shida yako.
Ila mimi katika namba zangu 3 za voda kuna namba moja hiyo nikiwapigia sipitii mzunguko, fasta tu naongea nao.
 
Hawa voda wanazingua

Cheza sana na hizo namba hawakuambii direct kama unaongea na Customer service ila kuna sehemu watakuunganisha.

ilishanikuta nikaenda mpka whatsapp, kule nako namueleza haelewi, kumbe ni ri robot lao sijui lilikua na njaa,
Naenda FB nako ni hivyo hivyo Mimi napoteza muda kumbe nachati na Lisukule.
Hahhaaa hilo lisukule limetishha
 
Nimejfunza Kuwa hapa Bongo ukitaka Huduma nzuri na Safi kwa Makampuni mengi wewe Opt kutumia Kingereza tu hautakuwa kwenye Queue na utahudumiwa on time
 
Back
Top Bottom