Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Wajinga sana hawa..Hawa voda wanazingua
Cheza sana na hizo namba hawakuambii direct kama unaongea na Customer service ila kuna sehemu watakuunganisha.
ilishanikuta nikaenda mpka whatsapp, kule nako namueleza haelewi, kumbe ni ri robot lao sijui lilikua na njaa,
Lijisukule lile liliniuzi,
Kwa English..unaenda machaguo gani ...1. Chat nao whatsapp
2. Chat nao kwa msg namba 100 ila uwe makini kufata maelekezo ili umpate customer care but itachukua muda. ukitumia english utahudumiwa haraka maana hakuna foleni.
3. Piga 100 hiyo hiyo chagua kipengele cha kama umeibiwa simu na unataka kuripoti hapo watapokea na ongea shida yako ya MPESA.
+255754100100 WhatsApp chat nao lugha ya kikwenu fasta anakuja mtoa huduma. Ukitumia kiswahili au kiingereza utakeshaKwa English..unaenda machaguo gani ...
Acha basi ...ngoja nijaribu+255754100100 WhatsApp chat nao lugha ya kikwenu fasta anakuja mtoa huduma. Ukitumia kiswahili au kiingereza utakesha
Nimeibiwa simu..chap wakaniunga .... Wamerudisha muamala...mpaka naogopa kutuma tena... Na nipo visiwani.. nyumbani Kuna changamoto..dahh mitandao hii1. Chat nao whatsapp
2. Chat nao kwa msg namba 100 ila uwe makini kufata maelekezo ili umpate customer care but itachukua muda. ukitumia english utahudumiwa haraka maana hakuna foleni.
3. Piga 100 hiyo hiyo chagua kipengele cha kama umeibiwa simu na unataka kuripoti hapo watapokea na ongea shida yako ya MPESA.
Ukipiga 100 tu chagua english, then chagua if you want to report a stolen phone.Kwa English..unaenda machaguo gani ...
Voda sijui wanachangamoto gani safari hii! Ijumaa nimetuma pesa kwenda benk haijafika mpaka leo eti wanashughulikia.Nimeibiwa simu..chap wakaniunga .... Wamerudisha muamala...mpaka naogopa kutuma tena... Na nipo visiwani.. nyumbani Kuna changamoto..dahh mitandao hii
Nimependa hapo kwenye kuibiwa simu [emoji23][emoji23][emoji23]1. Chat nao whatsapp
2. Chat nao kwa msg namba 100 ila uwe makini kufata maelekezo ili umpate customer care but itachukua muda. ukitumia english utahudumiwa haraka maana hakuna foleni.
3. Piga 100 hiyo hiyo chagua kipengele cha kama umeibiwa simu na unataka kuripoti hapo watapokea na ongea shida yako ya MPESA.
Yaani wewe ukiwa na tatizo lolote lile chagua kipengele cha nimeibiwa simu hapo unawapata fasta unaongea shida yako.Nimependa hapo kwenye kuibiwa simu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhaaa hilo lisukule limetishhaHawa voda wanazingua
Cheza sana na hizo namba hawakuambii direct kama unaongea na Customer service ila kuna sehemu watakuunganisha.
ilishanikuta nikaenda mpka whatsapp, kule nako namueleza haelewi, kumbe ni ri robot lao sijui lilikua na njaa,
Naenda FB nako ni hivyo hivyo Mimi napoteza muda kumbe nachati na Lisukule.