1 hiyo intelligence ya kuvizia nikichochea na msuba ndo kichwa inakuwa mwake (don't try that at home)
2 husn na sl hawana lolote, idea wanaiba kwangu kwanza!
3 kumbe laki si mahela ni mdada? Kazi mnayo ya kusaka millioni kufanya ugomvi!
Thanks Mkuu, pamoja sana! 😛oa
But I am curious: ningekua sina Avatar ungeweza kunikumbuka kwa michango yangu pekee?
Thanks Mkuu, pamoja sana! 😛oa
But I am curious: ningekua sina Avatar ungeweza kunikumbuka kwa michango yangu pekee?
Si umeona mkuu, Unamuandika mtu kama dada kumbe kidume mwenzio, Ukashitakiwa kwa PAW (Siku hizi wako makini unakula mvua faster) Ndio maana nikatumia avatar.3. Usinambie Lucky_c_pesa ni Mwanaume :shock:
No. Sivuti. wewe unavuta?RR katika real life unavuta sigara?
Mmm! Hapo sio rahisi ndio maana hata Husninyo nimemuweka pending. sio kama simkubali la hasha, namkubali sana!
Kwangu avatar naona kama inaleta taswira fulani hivi karibu na uhalisi wa mhusika iwe kwa matendo au muonekano
No. Sivuti. wewe unavuta?
Thanks for your honesty...
Mi avatar zinanichanganya sana... mfano wewe na Kizimkazimkuu nawaona kama mtu mmoja. lol
Hizi avatar za Prison Break.Thanks for your honesty...
Mi avatar zinanichanganya sana... mfano wewe na Kizimkazimkuu nawaona kama mtu mmoja. lol
1. Kumbe ni intelligence ni ya msuba? ndio more impressive sasa sababu inatokea inner you, sio copy paste wala kujifanya mjuaji... Me like that... (I'll try it with you)
2. Husninyo na Sweetlady ni wafwasi wako? basi ndio maana I like them both.
3. Usinambie Lucky_c_pesa ni Mwanaume :shock:
We mtundu! baba mkwe Mtambuzi hana mabinti hapa! na wale wengine "Kauzu zaidi ya dagaa sijui ndio wamelala au washamtoroka dingi"?
Hauvuti nini sasa? Hauvuti sigara wala mtemba au hauvuti chochote kabisa?sivuti pia.
Lucky me, I rarely see avatars. Na_browse na simu na mara nyingi kwa pcs I disable images in social networks. So, I would notice you without ur avatar na huwa nasahau (najaribu kukumbuka avatar yako b4 hii haiji kabisaa, ila nakumbuka michango yako ya kitaaambo!)
Hauvuti nini sasa? Hauvuti sigara wala mtemba au hauvuti chochote kabisa?
1 U will try it with me? Hebu dadavua (ujue PAW anakusoma hapa, be careful
2 Hao husn na sl ni my passive smokers, watu wangu wa karibu so nikipuliza msuba wanaishia kuvuta moshi wake.
3 Afu usini-misquote banaa(nahisi ww mwandishi wa habari,kha!), mi sijui kama huyo laki si mahela ana jinsia gani, labda tukamchungulie kwa ruhusa ya invisible!
Bado unasisitiza!?3. Lucky_c_pesa anaonekana kua mwanamke kutokana na threads zake. Dada anaonekana mwenye maujuzi balaa!
Bado unasisitiza!?
Haya haya ya kongosho na Asplin + Bishanga.
Kongosho mwanaume au mwanamke?
1. I'd like to try it with you b'cause it's as if you are worried that if I try it at home/alone I might not do it the right way, na nakuona unamaujuzi. 🙂
2. Kama hutaki kuvuta na mimi basi let me be a passive smoker but then blow it very close to my face
3. Lucky_c_pesa anaonekana kua mwanamke kutokana na threads zake. Dada anaonekana mwenye maujuzi balaa!
Thanks Mkuu, pamoja sana! 😛oa
But I am curious: ningekua sina Avatar ungeweza kunikumbuka kwa michango yangu pekee?