Kabla ya hii I had a cartoon. Mwanamke ameshika a beautiful .357 magnum but then nilipotambulika officially kama Mod nikabadili nisije nikaonekana kama Eliza-wa-tegeta. lol
1. I'd like to try it with you b'cause it's as if you are worried that if I try it at home/alone I might not do it the right way, na nakuona unamaujuzi. 🙂
2. Kama hutaki kuvuta na mimi basi let me be a passive smoker but then blow it very close to my face
3. Lucky_c_pesa anaonekana kua mwanamke kutokana na threads zake. Dada anaonekana mwenye maujuzi balaa!
Si umeona mkuu, Unamuandika mtu kama dada kumbe kidume mwenzio, Ukashitakiwa kwa PAW (Siku hizi wako makini unakula mvua faster) Ndio maana nikatumia avatar.
Ni mtazamo tu! kama haikuhusu ipotezee au "PITA" Haina kubeza, Waacheni wajione michael anawaangalia kwa mtazamo gani.
AshaDii: Aunt heshima yako! Naomba urudishe shungi vidume vishaanza kutokwa udenda!
Afrodenz: Designer! nakukubali mrembo Jicho kama umekula kungu manga lainiiiiiiii.
Amyner: Mrembo uko poa kama ulivyo. September baby!!!
Black Womani: Black beautifuly
Cantalisia: Binti Mtambuzi uko poaa! Dogo katangaza nia kaishia mitini, Baba mkwe mkali
Da Pretty: Uko poa dada, Ila mtu kama yuko kwa nyuma yako basi anafaidi.
Firstlady: Jicho na mdomo aaaaah Mashaalah.
Kabakabana: Uko bombaa! mpaka unatishia usalama wa Mwali
King'asti: Uko poa mtu wangu sema leo umerusha stimu! jibu hapa
Kipipi: Nambie mtoto wa kisukuma tupe kwa mbele sura tuione vizuri.
Kisukari Kama jina lako lilivyo, na huo mkono kama warusha kiss kwa mtu
Lizzy: Jimama la Unga LTD vipi kwemaa!?
Mwali: Hivyohivyo mama naona mtakatifu kaamua kukufunua shungi. Uko bomba! akugusi mtu.
Mamndenyi: Huyo bibi hapo anatuziba hatukuoni vizuri.
Mrembo by Nature: Hi
MwanajamiiOne: Jicho lako dada wee!
Preta: Aaa una macho laini mazuuriiiiii
Russian Roulette: Mmh Usinipige Ban mkuu, Hicho kifua kinamtoa udenda babu Asplini, Uko bomba mbaya.
Smile: Oooh! Pole mrembo endelea kumuuguza mama yetu.
Twande: Na wewe mtata mdadisi mpaka basi kwa baba mkwe Mtambuzi.
Jamani kama nimemkwaza mtu anisamehe, kwangu ni amani nawapenda wote members wenzangu!
tx broda!
100,000 SI PESA...JARIBU MILIONI!.....
Una ugonjwa, Kama siyo udhaifu, wa kuzimikia wanawake, halafu unaichomekamo MMU Kama kisingizio tu. Nani alkwambia Mmu ni ya wanawake pekee?
Asprin (siyo Asplin) mimi ni kidume na Kongosho ni demu wangu.
Asprin (siyo Asplin) mimi ni kidume na Kongosho ni demu wangu.
Like HOW?Kumbe mie mkali kwa wanangu, ngoja nipunguze kidogo maana huyu mwanangu Cantalisia ataniletea noumer kwa mama Ngina..........
Si mnajua mabinti wa siku hizi ni Bumper to Bumper
Kwa Kongosho amenipa go ahead. Ila kampa mwaka mmoja tu awe ashanizalia mapacha. Waona ntakavokuwa 'bize' kwa miezi hii mitatu?Hivi baba matesha, ile I'd ya mama matesha ulifanikiwa kuifahamu? Angalia usije ukaacha tikitimaji manake embe ni la msimu...
Asprin (siyo Asplin) mimi ni kidume na Kongosho ni demu wangu.
Er? Lucky me. Vipi waweza jitolea kuwa matron wake siku ntapomvalisha shela. Kusimamiwa na mod ni heshima kama ya Pinda kwa madaktari.Hapendi kuitwa demu... mi mke mtarajiwa.
Una mashaka? Subiri nimjaze kamimba ndo utathibitisha zaidi.Babu ina maana Kongosho ni mwanamke??
Why not? nitakuja na nitavaa gawn ya satin na kofia kubwa yenye nyavu kwa mbele... akitoka jaso nafuta tu...Er? Lucky me. Vipi waweza jitolea kuwa matron wake siku ntapomvalisha shela. Kusimamiwa na mod ni heshima kama ya Pinda kwa madaktari.
Mleta sledi kataja walembo tu, nashangaa na jina asplin limetajwa...au asplin ni mlembo mpya hapa JF? Babu asprin acha kupaniki.....labda siyo wewe!Asprin (siyo Asplin) mimi ni kidume na Kongosho ni demu wangu.