Ndugu wengi ni watu wa lawama, hawana jema jamani. Hawawezi kukufanyia zuri na zuri utakalowafanyia wewe hawana shukrani nalo.
Wengi ni wasiopenda kuona unafanikiwa hata sijui kwanini.
Kuwasiliana au kuonana ni hadi kwenye matukio eg msiba au harusi.
Wale waliofanikiwa huwa ni wenye kujisikia na wale wenye hali za chini hujiona dhaifu.
Jamani mnafanyaje kukabiliana na ndugu wa aina hizo?
Let me tell you one thing: Unawependa ndugu zako bali rafiki zako unawafurahia. Mungu ndio anatupenda sisi wanadamu, no matter tunamkosea vipi lakini upendo wake kwetu bad upo. Wengine tunafurahiana tu na si kupendana, unadai unampenda mkeo kwa sababu anakufurahia, anakupikia, anakuliwaza wakati wa huzuni, haya asipoyaonyesha upendo unaisha na unatafuta nyumba ndogo ili uyapate. Upendo hauna kikomo, sie twafurahiana na hatupendani!Ndugu wengi ni watu wa lawama, hawana jema jamani. Hawawezi kukufanyia zuri na zuri utakalowafanyia wewe hawana shukrani nalo.
Wengi ni wasiopenda kuona unafanikiwa hata sijui kwanini.
Kuwasiliana au kuonana ni hadi kwenye matukio eg msiba au harusi.
Wale waliofanikiwa huwa ni wenye kujisikia na wale wenye hali za chini hujiona dhaifu.
Jamani mnafanyaje kukabiliana na ndugu wa aina hizo?
Hujatueleza ni ndugu wa vipi! Shangazi, mjomba binam, bibi au wakuzaliwa nao? sikatai kuna wanandugu hawafai. Lakini kumbuka ndugu hasa wa damu hata ukilost hawata kutupa lakini ni bahati sana kupata rafiki wa hivyo. Nina uzoefu na marafiki na ndugu walio fanya mambo ya ajabu na mazuri. Tueleze kategori ya ndugu unao maanisha
Let me tell you one thing: Unawependa ndugu zako bali rafiki zako unawafurahia. Mungu ndio anatupenda sisi wanadamu, no matter tunamkosea vipi lakini upendo wake kwetu bad upo. Wengine tunafurahiana tu na si kupendana, unadai unampenda mkeo kwa sababu anakufurahia, anakupikia, anakuliwaza wakati wa huzuni, haya asipoyaonyesha upendo unaisha na unatafuta nyumba ndogo ili uyapate. Upendo hauna kikomo, sie twafurahiana na hatupendani!
mi nafikiri kupenda na kufurahia vinaendana pamoja.
Hivi unaweza ukakifurahia kitu wakati hukipendi?
Au unaweza ukakipenda kitu huku haukifurahii?
Labda unieleweshe zaidi juu ya hilo.
ndugu wote ukiacha wa kuzaliwa nao tumbo moja.