Bila shaka miss chaggaMmoja wapo hapo nlishaonyeshwa picha. Yuko powa na upo sawa mkuu to go crazy over em.
warembo saana, mi ninazo picha zao , wakinipa ruhusa nitakutumia inboxMkuu naomba basi please ! Ni warembo ?
hihihihona sasa warembo ? ili iwejeMkuu naomba basi please ! Ni warembo ?
hahaha kwani atoto ni mvulana mwenzetu mshana?atoto tena[emoji134] [emoji134] [emoji13]
atakuwa miss chagaMmoja wapo hapo nlishaonyeshwa picha. Yuko powa na upo sawa mkuu to go crazy over em.
Hivi Mkuu, kweli unaweza kuwa na imani 100% ya jinsia mtu unaye chati naye hususan humu JF !!! Unaweza kuta hao unaowasema pamoja na wewe wote mko jinsia moja !!!Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Ha ha haacha wee! hawa viumbe wanavyopenda sifa ukiongeza juhudi kidogo maongezi yatahamia PM..
Hapana mke wa mtu halafu jamaa kijeba fulani halafu gangwe sana..hahaha kwani atoto ni mvulana mwenzetu mshana?
apigwe tu maana hamna namna ingineHapana mke wa mtu halafu jamaa kijeba fulani halafu gangwe sana..
Sijui lei itakuwaje
hapo bichwa hilo kama nakuona, hebu endelea kuandika maana jamaa anapagawa hadi na maandishiHa ha ha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]apigwe tu maana hamna namna ingine
Kaka we naona unataka makuu shauri yako. Ujiandae kwanza mfukoniMsema kweli mpenz wa Mungu....