Ha ha ha haaa.. Kumbe kuumba herufi nako kunamata eeh? Ngoja nianzehapo bichwa hilo kama nakuona, hebu endelea kuandika maana jamaa anapagawa hadi na maandishi
unataka upendwe? ngoja nitakufungulia uzi wako..me mwandiko wako umenishawishiHa ha ha haaa.. Kumbe kuumba herufi nako kunamata eeh? Ngoja nianze
Kumbe.. Ngoja nikaze buti..Nkiona màandishi tuu nachangamyikiwa...
Uzi wangu nashonea nguo ya Idi saa hizi, labda wako weweunataka upendwe? ngoja nitakufungulia uzi wako..me mwandiko wako umenishawishi
Vp tena.... Kuhusu huyo atoto?atoto tena[emoji134] [emoji134] [emoji13]
atoto ana bonge la kitambi.Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji15]Vp tena.... Kuhusu huyo atoto?
aisee.. unazidi kushawishi, ngoja nami nifikirie maneno mazuri ya kukushawishi.. tushawishianeUzi wangu nashonea nguo ya Idi saa hizi, labda wako wewe
Yapata miezi 4 ss,toka nianze kukufunguka kule pm lkn unanikaushia hata kujibu salamu [emoji22]Ha ha ha
Washakusamehe tayarimiss chagga ni mrembo sana
Evelyn Salt mmmmmm.....mtanisamehe
Valentina yuko charming white flani hivi ...mfupi kimtindo
atoto bonge la demu...lakini mkoloni...teh
Usikaze... Hapo hapo inatoshaKumbe.. Ngoja nikaze buti..
Sipati salamu zako mkuu poleYapata miezi 4 ss,toka nianze kukufunguka kule pm lkn unanikaushia hata kujibu salamu [emoji22]