Opportunity at its best! Tuliza mpira kwanza. Ten percent ya malipo ntakugeya!
Hahaha kwa hizi surprise dinner soon tutaangukia msataangalieni tu msije jikuta msata na nyie.
Teh teh..Hili jina nilishalisahauHahaha jina lako ni ATOTO M-PESA KABOOM
Kodi ya Magu je. Sasa nikizidisha mi ntakula nini!Whaaat 10%!! you cant be serious, kidogo hivyo!
Hehehe hapo unawish hata uambiwe "njoo uzifate ghetto" tehMweeeh nshomile kwani mimi nimekuomba hela???
Alafu acha uchoyo.
Teh unaanzaje sasa kulisahauTeh teh..Hili jina nilishalisahau
Punguza wivu utakufa kitumbo juu mdomo wazi kwani kakuita?Mbona povu linakutoka, kwahio sisi inatuhusu nini mapenzi yako na hao watu
Nimegomahapo bichwa hilo kama nakuona, hebu endelea kuandika maana jamaa anapagawa hadi na maandishi
Hehehe hapo unawish hata uambiwe "njoo uzifate ghetto" teh
Punguza wivu utakufa kitumbo juu mdomo wazi kwani kakuita?
Hahaha Mfanyie tu maombi, atakupa tu.weeeh za nshomile si nitaisikilizia kooni.
Teh teh..Hili jina nilishalisahau
Endelea kugoma hivyo hivyo mi nakaribia kumtoza kodi. Akitiki tu nitakutonya tugawane kama walivyoyafanya mavazi ya Yesu mnazareti pale Golgota!Nimegoma
Nimetoka huko hana pesaMiss chagga, lazima akutafute inbox... Wallahiy nakuambia.. Haipiti dk 15, utatujuza hapa
Nadhani hata maana ya povu hajui, ameona atumie tu hako kaneno kwasababu anakaonaga kanatumiwa hapaHahahaaaaa! sasa hapo aliyetokwa povu sijui nani kati yake na mtoa mada.
Hahaha Mfanyie tu maombi, atakupa tu.
Nadhani hata maana ya povu hajui, ameona atumie tu hako kaneno kwasababu anakaonaga kanatumiwa hapa
Si hadi upewe sasa....Ili nikatangazwe tbc?? akuu za mume wangu zinanitosha.