Nina miaka 25 toka nina miaka 16 nimekuwa napenda sana kulala na malaya, kama pesa ipo huwa nawatafuta mpaka niwapate mpaka sasa nimelala na malaya si chini ya 150.
Nakumbuka mwaka jana sehemu flani hapa mbeya nililala na malaya watano kwa usiku mmoja, usiseme kuhusuUKIMWI sababu natumia condom na napima kila baada ya miezi mitatu, still negative.
Kinachonichanganya umri unaenda inanibidi kuoa na sijui nitaachaje sababu nawapenda sana na naenjoy, Mbalizi, Mbozi, Tunduma, Njombe, Makambako, Mafinga, Iringa, Songea, Singida, Dar ndo usiseme nimepita viwanja vyote! Huwa sichoki kufanya mapenzi.