Nawapenda sana malaya

watafune baba mi nakuunga mkono na mguu mmoja, kuhusu kuoa we usiwazie kabisa coz hutoweza kuvumilia kila siku huyo huyo wakat wewe umezoea kubadilisha.
 

Hahahahahh hesabu inakuja hivii.
Hints:
1.Miaka = 25.
2.Malaya=150

Operation
150/25
=6
Answer: Malaya 6 per year

Conclusion: Tangu una mwaka mmoja wastani wa Malaya uliolala nao kwa mwaka ni 6.

Hahahahah wewe #kama ronaldo
 
Kwakuwa Join Date yako ni : 23rd March 2015. Its obvious uendelee hivyo...... Time will tell...... Tunashukuru karibu mtarudi shule baada ya kufungua......
 
Hahaha
 
 
Kama wewe ni malaya, hakuna tatizo ila jua kuna miwaya na inaua. Pia, nashauri uache umalaya umalaya utulie na siyo kuwa malaya malaya kama ulivyo. Pia, ungefafanua ni malaya wapi unawapenda, Ni ngono au siasa>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…