Harold Msumba Member Joined Jun 29, 2013 Posts 24 Reaction score 8 Jun 29, 2013 #1 Hellow ndugu zangu mambo vp? Nimehama fb kwa watu wanaoropoka bila kushirikisha fikra zao na ni mara ya kwanza kujiunga na wana JF wenzangu nawapenda sana. Tupo pamoja wajameni
Hellow ndugu zangu mambo vp? Nimehama fb kwa watu wanaoropoka bila kushirikisha fikra zao na ni mara ya kwanza kujiunga na wana JF wenzangu nawapenda sana. Tupo pamoja wajameni
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,970 Jun 29, 2013 #2 Karibu kwenye tanuru la fikra
M mwanafyale JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,641 Reaction score 538 Jun 29, 2013 #3 Karibu sana kaka. Hata humu utakutana na fikra pevu na fikra finyu. Jiandae kikamilifu
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Jun 29, 2013 #4 Unatupenda unatufahamu?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 29, 2013 #5 Karibu JF.
Harold Msumba Member Joined Jun 29, 2013 Posts 24 Reaction score 8 Jun 30, 2013 Thread starter #6 KakaJambazi said: Unatupenda unatufahamu? Click to expand... sisi sote watanzania kaka
Harold Msumba Member Joined Jun 29, 2013 Posts 24 Reaction score 8 Jun 30, 2013 Thread starter #7 Globu said: Karibu JF. Click to expand... asante sn
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 30, 2013 #8 Karibu sana JF mjomba,kinywaji??
Harold Msumba Member Joined Jun 29, 2013 Posts 24 Reaction score 8 Dec 12, 2015 Thread starter #9 asante kaka kwema huku
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 14, 2015 #10 Harold Msumba said: asante kaka kwema huku Click to expand... Duh...tokea mwaka 2013 ndio unaonekana sasa
Harold Msumba said: asante kaka kwema huku Click to expand... Duh...tokea mwaka 2013 ndio unaonekana sasa