Ut emmanuel
Member
- Nov 19, 2011
- 7
- 2
Kila mtanzania ni kaka ama dada yangu. Maishan mwangu huumia sana nionapo ndugu zangu waumia. Nionapo fujo moyo wangu husononeka naombeni ndugu zangu tuitunze amani.
Ijapokuwa tu wa dini tofauti tusiweke mbele dini bali upendo kwanza kwani hilo ndilo la Mungu yeyote apiganaye akimtetea Mungu huyo hana Mungu wa kweli kwani Mungu Muumba hatetewi na mikono ya wanadamu bali Mungu huwatetea wanadamu kwa huruma na pendo basi anayemtetea Mungu wake kwa kufanya fujo huyo hamjui Mungu basi mungu huyo ni kitu ama kazi ya mikono ambayo hiyo yaaribika bali Mungu wa kweli haaribiki bali ni wa milele ampendaye kila mmoja na akituagiza tupendane.
Watanzania tupendane tuitafute amani kwa alili ya furaha yetu