Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu.
Kumeibuka mjadala mkubwa juu ya uwezo wa golikipa Aishi salum manula kuwa wapo wanaodai kiwango kimeshuka sana lakini naona yule bado sana.
Ujue manula ni muhanga wa mazingira! Ndiyo .
Alipata jeraha kubwa sana na akakaa muda mrefu nje .
Kikawaida jeraha kubwa kama hilo mchezaji akipona basi asiingizwe kwenye kikosi moja kwa moja ila awekwe kwenye program maalumu kama mwezi then aanze kupewa nafasi ...!
Yaani simba walikosea sana, manula alipopona tu wao wakampanga mechi kubwa na yanga ile , matokeo yake mkayaona .
Mchezaji akiumia na confidence inapotea kabisa , hivyo jukumu la team kuirudisha confidence yake na utimamu ule wa mwili (fitness) kwa kucheza game ndogo ndogo zisizo na presha sana.
Angalia city walifanyaje kwa kdb alipoumia mpaka sasa hivi? Vipi Liverpool kwa thiago?
Angalia arsenal wanachokifanya kwa julien Timber? Ila ingekuwa yuko huku bongo angepewa namba moja kwa moja akitoka majeruhi,
Hii sio sawa.
Simba wanamuuwa manula wenyewe ,
Mchezaji aliyetoka majeruhi anatakiwa acheze! Ndiyo dawa pekee ya kurudisha ubora .
Lakini acheze mechi zisizo na presha sana ili arudishe fitness kabla ya kupewa mechi ngumu ngumu sana kama ile na yanga na prison..!
Badala yake manula angepewa mechi za Fa kama ile na TRA moshi na game kama hizo ..
Manula bado ana kiwango kizuri tu wala hajashuka ni uelewa mdogo wa viongozi wa simba na uchawa wao plus udalali wa kuleta wachezaji wazee kama yule mwaijobe.