NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
NECTA mkuuNECTA? NACTE?
Rudi shule unatuaibishaNECTA? NACTE?
Weka chanzo cha habari yako.Baraza la mitihani la Taifa(NECTA) limefanya mabadiliko kwenye mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kwa kuondoa machaguo ya majibu kwenye somo la hisabati kuanzia mitihani ya mwaka huu.
Pia wanatarajia kufanya mabadiliko kama haya kwa ngazi ya sekondari kwenye masomo ya fizikia, kiingereza na baiolojia.
Dah hii ishu ya multiple choices kwenye hisabati ilikuwa inaniboa sana!
Yuko sahihi kuuliza swali hilo.Rudi shule unatuaibisha
Soon nitawekaWeka chanzo cha habari yako.
Ila kama wamefanya mabadiliko hayo wamefanya vizuri.
Hesabu inahitaji kukokotolewa sio multiple choice.
Multiple choice waliwekewe vilaza wa hesabu, sisi mabingwa wa kukokotoa ilikuwa inatutia kichefuchefu.
Namkubali sana Waziri wa Elimu wa sasa Prof. Mkenda, tunamuomba Mama amuache hapohapo miaka 10 asiondolewe.
Wale wa kuotea wanalo haha! Sikuhizi ni competence based tu
Kuchagua ni ufala sana. Tuliwahi kupewa multiple choices. Jamaa mmoja akaotea maswali yote 10.....tulipomfuata atuelezee hakuna hata kimoja anachojua. Anasema alikua ana guess tu.Kama ya kuchagua jibu sahihi hawawezi je kukotoa wataweza? Watoto watafeli vibaya itabidi standardize ihusike kuinua maksi vingenevyo spoon feeding itatumika