Duh! Aisee kweli Rage ana akili!
Mlandege ni timu kali yenye vipaji na morali na wala haikuachiwa, imeshinda kihalali baada ya Simba mbovu kupelekwa fainali na refa!
Wazenj hawakuanzisha mashindano ili waachiwe ubingwa, mara ngapi timu za bara zimeshinda and wako peace and love tu?
Simba hamna timu jipangeni upya acheni kujidanganya, KMC tu iliwashinda pamoja na kupewa penati ya kubebwa na refa!
Simba hii ni mbovu kubalini tu ndo mtatoka mlipo sasa kwenye khamsa za Yanga!