Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia pass alizopiga, interception alizofanya, loss pass na maeneo mengine.
Hili litasaidia kukuza soka letu na pia litasaidia kuongeza performance ya wachezaji na pia mashabiki kujua viwango vya wachezaji wao na team yao kiujumla kwa kina kwa mechi husika.
Hili litasaidia kukuza soka letu na pia litasaidia kuongeza performance ya wachezaji na pia mashabiki kujua viwango vya wachezaji wao na team yao kiujumla kwa kina kwa mechi husika.