Nawapongeza Tamisemi kwenye ajira za Afya na Ualimu 2021

Nawapongeza Tamisemi kwenye ajira za Afya na Ualimu 2021

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo

Kazi iendelee....
 
Attachments

Pongezi kubwa kwa waliopata ajira pia tunaipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh. Raisi Samia Suruhu Hasani kwa kutoa ajira kwa vijana baada ya kusota mitaani kwa muda mrefu watika tukitsmbua wazi shule na vituo vya afya kuna upungufu mkubwa wa watumishi,kikubwa kwa wenzetu waliobahatika kupata ajira wakachape kazi kweli kweli na watangulize utu mbele na kuwa na hofu ya mungu hasa hao walio katika kada ya afya.
 
Yaan unaibiwa kitaalamu mpaka unamsifia aliekuibia kuwa amekuibia kitaalamu
Hii ndio taaluma ati
 
Safsri hii UVCCM hawajapachikwa? Naona hakuja malalamiko. Mana enzi za bwana yule angepachika UVCCM bila kuangalia vigezo, na hivyo kuleta kelele.

Au inawezekana safari hii waziri alikuwa bega kwa bega kusimamia zoezi.

Kwani kwenda kama hivi kuna tatizo gani jamani, ili kupunguza kelele?

Hongera TAMISEMI.
 
Pongezi kubwa kwa waliopata ajira pia tunaipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mh. Raisi Samia Suruhu Hasani kwa kutoa ajira kwa vijana baada ya kusota mitaani kwa muda mrefu watika tukitsmbua wazi shule na vituo vya afya kuna upungufu mkubwa wa watumishi,kikubwa kwa wenzetu waliobahatika kupata ajira wakachape kazi kweli kweli na watangulize utu mbele na kuwa na hofu ya mungu hasa hao walio katika kada ya afya.
👍👍
 
Back
Top Bottom