NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Fair play kwa mashabiki pia.Mkuu huu si uzi wa mashabiki wa Simba , ni uzi wako , Naanzaje kuipongeza Yanga kwa kubebwa ?
Tuwekee mechi alizobebwa, halafu utoe na sababu kwanini unasema kabebwa katika mechi husika. Ukishindwa kufanya hivyo basi utakuwa una wivu na chuki iliyopitiliza kwa YangaMkuu huu si uzi wa mashabiki wa Simba , ni uzi wako , Naanzaje kuipongeza Yanga kwa kubebwa ?
Kwa bandiko hili umefuta kabisa kauli zifuatazoMimi kama shabiki wa simba sports club timu bora Tanzania na ni miongoni mwa timu bora Africa nawapongeza sana watani zetu wa jadi Yanga Sports Club kwa kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022.
Ukweli ni kwamba msimu huu yanga mmekua na timu yenye wachezaji waliojitoa kwa jasho na damu kuhakikisha timu inapata matokeo mazuri.
Hongereni sana watani.
Simba the next level.
Simba nguvu moja.
kombe lenyewe ni kombe basi ni brenda tu ya kusagia jius mnapewa.Kwa bandiko hili umefuta kabisa kauli zifuatazo
1. GSM anahonga timu pinzani
2. Yanga inatembeza bahasa
Asante kwa kuwa muungwana
Kolo la kizamani likimkosoa kolo mwenzake mwenye akili kidogoMkuu huu si uzi wa mashabiki wa Simba , ni uzi wako , Naanzaje kuipongeza Yanga kwa kubebwa ?
"Wanaoumia Ni Wengi Kuzidi Coastal Union"Yanga hata wabebe ubingwa wa vilabu wa duniani SITOKAA NIYAPONGZE MAJAMBAZI.
"Wanaoumia Ni Wengi Kuzidi Coastal Union"Mkuu huu si uzi wa mashabiki wa Simba , ni uzi wako , Naanzaje kuipongeza Yanga kwa kubebwa ?