Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
_*Nawasalimia [emoji68]WASICHANA [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia WASICHANA weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_
_*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano[emoji106][emoji108] P,K,O,S!! Nakaribia KUOA,*_
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*_
_*Nawasalimia WASICHANA ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,*_
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo [emoji23][emoji23] Tumeachana[emoji23]Niwaambie SICHUNIKI,*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]*_
_*Nawasalimia Wale WASICHANA Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua[emoji23][emoji23][emoji23] PLEASE NIPENI BREAK,*_
_*Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie[emoji23][emoji23][emoji23]*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI[emoji3][emoji3][emoji3]*_
_*Nawasalimia Wale WASICHANA nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI [emoji23][emoji23][emoji23]*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
_*Nawasalimia wale WASICHANA ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muoneni Ras Simba*_
_*Nawasalimia Wale WASICHANA wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi[emoji23][emoji23][emoji23] WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*_
_*Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*_
Sent using Jamii Forums mobile app