Nawasalimia

Nawasalimia

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
_*Nawasalimia [emoji68]MADEM [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_

_*Nawasalimia MADEM weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_

_*Nawasalimia MADEM Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano[emoji106][emoji108] P,K,O,S!! Nakaribia KUOA,*_

_*Nawasalimia MADEM wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*_

_*Nawasalimia MADEM ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,*_

_*Nawasalimia MADEM wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*_

_*Nawasalimia wale MADEM nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo [emoji23][emoji23] Tumeachana[emoji23]Niwaambie SICHUNIKI,*_

_*Nawasalimia wale MADEM wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]*_

_*Nawasalimia Wale MADEM Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua[emoji23][emoji23][emoji23] PLEASE NIPENI BREAK,*_

_*Nawasalimia MADEM Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie[emoji23][emoji23][emoji23]*_

_*Nawasalimia wale MADEM mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI[emoji3][emoji3][emoji3]*_

_*Nawasalimia Wale MADEM nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI [emoji23][emoji23][emoji23]*_

_*Nawasalimia wale MADEM woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

_*Nawasalimia wale MADEM ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muoneni Ras Simba*_

_*Nawasalimia Wale MADEM wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*_

_*Nawasalimia wale MADEM mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi[emoji23][emoji23][emoji23] WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*_

_*Nawasalimu MADEM mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*_

Nawasalim sana.
 
Kushindana na mademu ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Tunakusalimu wewe mwandika uzi tunaomba utafute pesa
 
Back
Top Bottom