Mimi ni mgeni ndani ya JF. Pamoja na ugeni wangu nataka kufahamishwa kwa nini JF Adminnistrator asiweke safu ya marafiki wa zamani kutafutana? Anyway pamoja na kuwasalimia natumia nafasi hii kumtafuta rafiki yangu aitwae Hassani Mwakawago. Tumepotezana takribani miaka sita sasa. Kama kuna mtu anayo anwani yake naiomba. Au hata yeye mwenyewe kama mdau wa JF namuomba anipe contacts zake. Mimi anwani yangu ni mshubebe@gmail.com
Nawatakia baraka nyingi mwaka 2010
Nawatakia baraka nyingi mwaka 2010