Nawasalimu nyote kwa pamoja

Nawasalimu nyote kwa pamoja

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
410
Msaada tafadhali
Nimejiunga jf zaidi ya mwezi umepita
Lakini nikitaka kumfolo au kurespond
Kitu chochote naandikiwa ivi
"Your account is currently pending for admin to approve"
Msaada wenu tafadhalini
Nielekeze nifanyeje.au admin kama hutojali naomba uaprove account yangu
 
Back
Top Bottom