BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Habarini wadau wenzangu na mahaters kwa ujumla 😀😀😀😀, sina kinyongo na mtu jamani...Hope nyote wazima kabisa, long time nimepotea ndugu zangu....baada ya timu yangu pendwa na yenye washabiki wengi sana ikiongozwa na msakata kandanda maarufu duniani Leonel Andres Messi/La Pulga Man mchezaji bora kuwahi kutokea ulimwenguni kutolewa kwenye Nusu fainali ya klabu bingwa barani ulaya...but mimi kama mimi sio mtu wa kukata tamaa mapema ndugu zanguni, so mchezo ndivyo ulivyo yatupasa tukubali matokeo...pia tuwe na subira hope next time hatutafanya mistake.
Nimewamisi sana wadau wangu...
Kila la heri Blaugrana
Kila la heri King Messi
Kila la heri wadau wote wa JF na,
Bila kumsahau jembe letu Maxence Melo, tena ninashida na wewe kiongozi Mungu akitupa uhai soon nitakupm.
BlackPanther
Nimewamisi sana wadau wangu...
Kila la heri Blaugrana
Kila la heri King Messi
Kila la heri wadau wote wa JF na,
Bila kumsahau jembe letu Maxence Melo, tena ninashida na wewe kiongozi Mungu akitupa uhai soon nitakupm.
BlackPanther