Deus F Mallya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 705
- 441
Nawapongeza Admins na Wana JF wote mnaoendeeza Harakati kwa upande huu.. Najua yamesemwa mengi sana humu kunihusu mimi. Nipo hapa nakaribisha Maswali (Kama yapo).. Kejeli sintajibu manake najua hazikosekani.
Ahsanteni sana
Deus Mallya
Dar es Salaam
Ahsanteni sana
Deus Mallya
Dar es Salaam
